VIPASHIO VYA LUGHA
Ni vipengele ambavyo hushirikiana ili kujenga lugha.
Katika utaratibu huu vipashio vidogo vya lugha huungana ili kujenga vipashio vikubwa zaidi. Vipashio hivi ndivyo nguzo ya lugha na vinapoungana ndipo lugha hujengeka.
Katika kiwango cha chini zaidi kuna sauti ,nazo sauti huungana kujenga silabi ,silabi huunda maneno na maneno huungana kujenga sentensi.
sauti - silabi - neno - sentensi
silabi ni mapigo ya sauti katika neno.
Mifano
Aliondoka
a-li-o-ndo-ka (silabi tano)
ua
u-a (silabi mbili)
hufikirii
hu-fi-ki-ri-i(silabi tano)
muundo wa silabi katika sentensi
1 silabi ya irabu pekee
oa o-a
ua u-a
2 silabi za konsonanti na irabu
Soma so-ma
3 silabi za konsonanti mbili na irabu
o-ndo-ka
4 silabi za konsonanti tatu na irabu
Mbweha mbwe-ha
5 silabi za konsonanti pekee
Mchicha m-chi-cha
Kelbu
Kuran
Maktaba
ume tengeneza aje hio heading
JibuFutani supu
Futasi ugoogle
JibuFutagoogle
Futa🖕
Futasooooo
JibuFutaIko poa Tu sana
JibuFutann mbaya na nyinyi hio kitu ni ugly
JibuFutamnknmm
Futann mbaya na nyinyi hio kitu ni ugly
JibuFutaNielezee vipashio nne vya lugha
JibuFutaVipashio ni vigapi?
FutaNifollow instagram @Louis_Sativa
FutaVipashio vinawezaje kujenga lugha
JibuFutaGood
JibuFutaGood
JibuFutaGood
JibuFutaVipashio vya lugha ni: sauti,silabi,neno,virai,vishazi na sentenzi. Pia unaweza kuainisha hivi: sauti-silabi-neno- sentenzi.
FutaVipi kuhusu vipashio hivi neno, kirai, kishazi na sentensi
JibuFutaAsant san
JibuFutaKazi kuntu kabisa
JibuFutaHello
JibuFutaHeko
Si wangetaja na kufafanua vipashio vyote?
JibuFutaI agree with you
Futachipo ni tamu
JibuFutamambo bobo
JibuFutaHellooooo everyone,what language is this?
JibuFuta