MASWALI NA MAJIBU
katika ukurasa huu tungependa
kushirikiana na wasomaji wetu pamoja na wanafunzi wetu kupitia kwa kuuliza
maswali yoyote yanayohusiana na lugha hii ya kiswahili.
Tunao wataalamu wa kutosha watakaoyatatua maswali hayo. Tunaomba kwamba yawe yanahusiana na lugha ya kiswahili.